Upendo wa Kweli tu ndio Utakuweka mbali na "Upendo wa Bure"
"Lakini unayo hii, ya kwamba unachukia matendo ya Wanikolai, ambayo nami nawachukia." (Ufunuo 2: 6) Wanikolai walikuwa akina nani? Wanahistoria huwaelezea kama dhehebu fupi lililoishi katika siku za kwanza za Ukristo ambalo lilichochea uhusiano wa kijinsia kati ya waumini wake - kwa maneno mengine, roho ya "upendo-wa bure". Lakini Ufunuo ni ... Soma zaidi