Je! Uwevu Kuingia Hekaluni?
“Na baada ya hayo nikaona, na tazama, hekalu la hema ya ushuhuda mbinguni lilifunguliwa.” ~ Ufunuo 15:5 Hema la Agano la Kale halikufunguliwa kwa kila mtu. Kulikuwa na muda mfupi tu, wakati maskani iliposimamishwa kama hema la chumba kimoja. Iliitwa Hema… Soma zaidi