Katika Ufalme wa Yesu Tunaweza Kutawala Kama Wafalme Juu ya Dhambi!
"Na ametufanya kuwa wafalme na makuhani kwa Mungu na Baba yake; kwake uwe utukufu na nguvu milele na milele. Amina. " (Ufunuo 1: 6) Kama ilivyosemwa tayari, Yesu ni “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.” Kwa kweli, Yesu sio Mfalme tu, bali pia Kuhani Mkuu pekee aliyekubaliwa na Mungu… Soma zaidi